Viongozi wa upinzani wamkaribisha Matiang'i, waanza kujipanga kwa uchaguzi wa 2027

  • | Citizen TV
    5,658 views

    Viongozi wa upinzani leo wameandaa mkutano wa pamoja katika kile kimeonekana kujipanga kwa uchaguzi mkuu ujao. Aliyekuwa naibu Rais Rigathi Gachagua na kinara wa wiper Kaloinzo Musyoka pia wakiungana na wenzao kudai uwazi katika uteuzi wa mwenyekiti na makamishna wa tume ya uchaguzi nchini IEBC. Steven Letoo anaarifu kuhusu mkutano huu, uliowajumuisha Fred Matiang'i na Justin Muturi