Viongozi wa upinzani wasema hawakupanga maandamano

  • | Citizen TV
    3,458 views

    Viongozi wa upinzani wamekana kuhusika kutumia vijana kuzua rabsha na kuharibu mali jijini nairobi na kaunti zengine wakati wa maandamano.