Viongozi wa upinzani washikilia watakusanya saini

  • | Citizen TV
    5,805 views

    Viongozi wa upinzani nao wameshikilia kuwa wataendelea na mchakato wa kukusanya saini ili kuibandua seriklai ya Kenya Kwanza mamlakani. Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka ameshikilia kuwa, azimio itaendelea na maandamano hadi pale serikali itakapowasikiliza wananchi akikosoa polisi kwa kutumia nguvu kupita kiasi wakati wa maandamano ya ijumaa.