Viongozi wa upinzani washinikiza serikali dhidi ya ufisadi wakisema SHA inatumika kufuja pesa za uma

  • | Citizen TV
    576 views

    Viongozi wa upinzani wameendelea kuikosoa serikali kwa ufisadi huku Kinara wa DCP Rigathi Gachagua akiendelea kukosoa bima ya SHA akisema inatumika kuendeleza ufujaji wa pesa za umma. Gachagua amezungumza eneo la Ongata Rongai huku kinara wa DAP-K Eugene Wamalwa na aliyekuwa waziri wa Usalama Fred Matiangi wakizungumza maeneo tofauti nao pia wakiitaka serikali kuwajibikia ufisadi na usalama tete katika baadhi ya sehemu nchini