- 1,412 viewsDuration: 2:59Viongozi wa upinzani wameendeleza shutma dhidi ya idara ya usalama wakiwakashifu polisi kwa kutumiwa vibaya kuvuruga mikutano yao katika maeneo mbalimbali nchini. Kwa siku ya pili katika kaunti ya Kisii ,viongozi hao wamedai kuwa serikali inazidi kuwahadaa wakenya kwa miradi hewa huku ikiendelea kufuja fedha za umma. Chrispine Otieno amehududhuria mikutano ya Upinzani Kisii na Nyamira na kuandaa taarifa ifuatayo.