Viongozi wa upinzani wataka IG ashtakiwe kwa kukaidi amri ya korti

  • | NTV Video
    2,773 views

    Mawakili wa vijana waliotekwa nyara wakiongozwa na Kalonzo Musyoka, Martha Karua na Eugine Wamalwa wanataka inspekta mkuu wa polisi ashtakiwe na makosa ya kukaidi matakwa ya korti kuhusiana na utekaji nyara wa vijana wanaokosoa serikali.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya