Viongozi wa upinzani watembelea majeruhi hospitalini

  • | Citizen TV
    3,931 views

    Jumla ya watu 150 wametibiwa katika hospitali mbalimbali katika kaunti ya Nairobi na Kisumu kutokana na majeraha waliyopata wakati wa maandamano ya upinzani dhidi ya serikali. Viongozi wa Azimio waliwatembelea baadhi ya waathiriwa katika hospitali ya Mama Lucy na ile ya rufaa ya Kenyatta hapa Nairobi.