Viongozi wa upinzani watoa wito wa uchunguzi kuhusu ajali ya ndege

  • | K24 Video
    192 views

    Viongozi wa upinzani wametoa wito wa uchunguzi kuhusu ajali ya ndege ulipigiwa upatu katika mazishi hayo huku Rais William Ruto akitoa tahadhari kuhusu uenezwaji wa uvumi wa madai ya kifo cha mwendazake na kuwataka wakenya wawe na subira wakati uchunguzi ukiendelea.