Viongozi wa upinzani wazidi kulaumu maafisa wa polisi kwa mauaji na utekaji nyara

  • | Citizen TV
    873 views

    Siku 10 baada ya kuachiliwa kwake, mwanaharakati Bob Njagi amewashukuru Wakenya kwa kushinikiza kuachiliwa kwake pamoja na ndugu wawili aslam na Jamil Longton. Akizungumza alipohudhuria ibada kanisani Kitengela, Njagi amesema ataelezea kwa kina yaliyojiri hivi karibuni. Haya yanajiri huku kinara wa wiper kalonzo musyoka akiahidi kuwa watasukuma kuhakikisha wote waliotoweka wamepata haki.