Viongozi wa Vihiga wataka vijana wa Gen z wahusishwe katika mazungumzo ya kitaifa

  • | Citizen TV
    158 views

    Baadhi ya wakaazi wa kaunti ya Vihiga sasa wanasema iwapo kutakuwa na mazungumzo humu nchini, ni sharti vijana wa Genz wahusishwe