Viongozi wa wafugaji watakiwa kuhusisha warani katika vikao vya amani

  • | Citizen TV
    139 views

    Wito umetolewa Kwa viongozi wa jamii za ufugaji kuandaa vikao vya amani na warani ili kuwahamasisha kuhusu athari ya wizi wa mifugo, na kusaidia Kaunti hizo kuafikia amani ya kudumu.Haya yanajiri siku Moja baada ya maadhimisho ya kitaifa ya siku ya amani Duniani. Mwanahabari wetu Bonface Barasa anaarifu zaidi kutoka Samburu.