Viongozi wa waislamu wailaumu serikali kwa ugumu wa maisha

  • | Citizen TV
    192 views

    Mwenyekiti wa kamati ya maendeleo ya Waislamu kaunti ya Migori Omar Ibrahim amewasuta wabunge wa bunge la kitaifa kuhusu tatizo linalokumba nchi la gharama ya juu ya maisha.