Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa wanawake wataka mazingira salama ya kisiasa

  • | Citizen TV
    160 views
    Duration: 2:17
    Viongozi wa wanawake waitaka serikali kuimarisha usalama katika shughuli za kisiasa na kukomesha vurugu zilengazo wanawake wanaowania nyadhifa za uongozi, huku wakidai kuwa mazingira ya sasa yawakatisha tamaa ya kujitosa kwenye siasa