Viongozi wahimiza suluhisho la amani kufuatia mzozo wa ardhi Nyatike

  • | KBC Video
    10 views

    Baadhi ya viongozi eneo la Nyatike kaunti ya Migori wamesisitiza haja ya kusuluhusha mizozo ya ardhi kwa njia ya amani. Viongozi hao hata hivyo wamesema wanyeji wanastahili kuwa na haki ya kutumia ardhi na kuishi katika eneo hilo Wakiongozwa na Gavana wa Migori Ochillo Ayacko, viongozi hao walihimiza serikali kutoingilia suala la ardhi bila kushirikisha umma.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive