Viongozi waitaka serekali kuimarisha usalama na kuwapa walinzi wawakilishi wadi

  • | Citizen TV
    153 views

    Kufuatia mashambulizi ya kigaidi katika kaunti ya Lamu juma moja lililopita ambapo watu wawili waliuwawa na wengine kumi kujeruhiwa vibaya akiwemo mwakilishi wadi wa Hindi James Kariuki Njagaa,Viongozi mbalimbali wanaitaka serekali kuimarisha usalama na kuwapa walinzi wawakilishi wadi. Na kama anavyoarifu Rahma Rashid, Njagaa anapokea matibabu katika Hospitali ya Mombasa.