Viongozi wajadili kudororakwa amani Todonyang'

  • | Citizen TV
    184 views

    Viongozi wa ngazi za juu kutoka Kenya na Ethiopia wamekongamana Kakuma Turkana magharibi, kujadili swala Tata la kudorora kwa Amani katika mpaka wa Kenya na Ethiopia katika mpaka wa Todonyang'