VIONGOZI WAKASHIFU POLISI KWA KULEGALEGA KUWAKAMATA WAUAJI WA PADRE

  • | K24 Video
    633 views

    Viongozi wa Kaskazini mwa Bonde la Ufa wameikosoa idara ya upelelezi kwa kuchelewesha kukamatwa kwa wahusika wa mauaji ya padre wa Kanisa Katoliki kaunti ya Elgeyo Marakwet. Wakizungumza katika misa ya wafu mjini Eldoret, wamesema serikali imenyamaza licha ya kuahidi kukamilisha uchunguzi ndani ya siku tatu.