Viongozi walalamikia uhaba wa walimu Taveta

  • | Citizen TV
    37 views

    Swala la uhaba wa walimu na mimba za utotoni lilipewa kipaumbele kwenye hafla ya elimu iliyoandaliwa kaunti ya Taita Taveta. Wabunge wa kaunti hii wakitaka walimu wa eneo hilo kujumuishwa kwenye mpango wa marpurupu ya maeneo kame wakisema ndio sababu ya uhaba huu wa walimu. Spika wa bunge Moses Wetangula akiahudi kuongoza mikakati kuhakikisha uhaba wa walimu eneo hili unashughulikiwa