Viongozi waliochaguliwa hivi majuzi katika kaunti ya Tana River waapa kushirikiana

  • | KBC Video
    32 views

    Viongozi waliochaguliwa hivi maajuzi katika kaunti ya Tana River, wameapa kufanya kazi kwa pamoja kuendeleza kaunti hiyo. Wakiongozwa na gavana Dhadho Godhana, waliwahakikishia wakazi kushirikiana katika kutatua matatizo yanayoathiri eneo hilo kwa lengo jumla la kuboresha riziki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #kenyaelection2022 #tanariverleaders