- 8,976 viewsDuration: 3:08Viongozi mbalimbali sasa wanamtaka Katibu Mkuu wa UDA, Hassan Omar, kujiuzulu au kuondolewa afisini kufuatia matamshi yake yaliyozua utata kuhusu jamii ya Mlima Kenya, huku akijitetea na kuomba msamaha akisema kauli zake hazikulenga jamii yoyote mahsusi.