12 Mar 2026 1:15 pm | Citizen TV 253 views Duration: 3:15 Viongozi wanawake kutoka kaunti ya samburu wamelaani vikali kukithiri kwa mizozo ya kinyumbani,akina mama wakidhulumiwa na waume zao kwenye ndoa. Viongozi hao wamewataka akina mama kuripoti visa hivyo ili wapate haki