Viongozi wanawake wapigia debe muungano wa ODM na UDA

  • | Citizen TV
    214 views

    Baadhii ya wabunge wa kike wamekosoa miungano ya upinzani inayobuniwa kwa madhumuni ya kumuondoa mamalaki Rais William Ruto kwenye uchaguzi wa mwaka 2027.