- 1,221 viewsDuration: 3:12Viongozi wa makanisa na wa upinzani wameeleza wasiwasi kuhusu uwazi na uhalali wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2027, wakikosoa vikali matamshi yanayodai kuwa udanganyifu unaweza kutumiwa kumpa Rais Ruto muhula wa pili, huku wakionya kuwa kauli hizo zinaweza kulisukuma taifa kwenye machafuko.