Viongozi wapya wa chama cha ODM wahakikishia wanachama wote usawa Kisii

  • | Citizen TV
    173 views

    Viongozi wapya wa chama cha ODM kaunti ya Kisii wamewahakikishia wanachama na wenyeji wa kaunti ya Kisii kwamba wako tayari kuhakikisha kuwa eneo la Gusii litasalia kuwa ngome ya chama hicho kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027