Viongozi washutumu utepetevu wa wazee wa nyumba kumi kufuatia maafa ya Shakahola

  • | Citizen TV
    342 views

    Viongozi wa kidini kutoka kaunti ya Busia sasa wamewataka wazee wa nyumba kumi pamoja na maafisa wa utawala nyanjani kuwa ange na kuchunguza mienendo ya makanisa eneo hilo.