Viongozi wataka familia za waliouwawa Turkana Mashariki zilipwe fidia

  • | Citizen TV
    3,751 views

    Siku chache baada ya mauaji ya watu 11 katika kijiji cha Namariat eneo bunge la Turkama Mashariki, viongozi wa Turkana wamejitokeza kurai serikali inapoendelea na oparesheni ifidie familia za waadhiriwa