Viongozi wataka marekebisho kwa mswada wa fedha

  • | KBC Video
    80 views

    Mwenyekiti wa kamati ya bajeti ya bunge la taifa Ndindi Nyoro amewataka viongozi na Wakenya kwa jumla kuwa na subira kuhusu mswada wa fedha wa mwaka 2024,akisema ripoti ya kamati ya fedha haijawasilishwa bungeni.Mbunge huyo wa Kiharu alisema ni mapema mno kukata kauli kuhusu mswada huo,ilhali mapendekezo ya Wakenya hayajajumuishwa.Haya yanajiri shinikizo zikiongezeka kwa wabunge kukataa mswada huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News