Viongozi wataka polisi wanaokiuka sheria wawajibishwe

  • | KBC Video
    23 views

    UWAJIBIKAJI WA POLISI

    Shinikizo za upatinakaji haki kufuatia mauaji ya mwanablogu Albert Ojwang zinazidi kumiminika huku seneta wa kaunti ya Kakamega Boni Khalwale akitoa wito wa kukamatwa na kufunguliwa mashtaka kwa naibu inspekta mkuu wa polisi. Kando na hayo, spika wa bunge la taifa Moses Wetangula anatahadharisha dhidi ya kuwalimbikizia lawama maafisa wote wa polisi kutokana na yanayojiri wakati wa maandamano. Joseph Wakhungu na taarifa hii kwa kina huku jicho pevu likiwaangazia maafisa hao wa polisi.

    #DarubiniWikendi

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive