Viongozi wataka rais Ruto kusaidia maendeleo katika kaunti ya Kajiado

  • | Citizen TV
    255 views

    Viongozi wa Kaunti ya Kajiado walitumia fursa ya mkutano wa maombi ulioongozwa na rais kutoa wito wa mikakati ya kudumu kuwanusuru wafugaji kutokana na athari za ukame.