- 80 viewsDuration: 2:32Mchezo wa soka umeendelea kuwa kiunganishi miongoni mwa wakenya wa matabaka mbalimbali. Ukanda wa kaskazini mashariki nao umeshika kasi katika kutumia mchezo huu kwa sababu mbalimbali. Akademia ya michezo nchini kas ikishirikiana na ofisi ya katibu wa mipango maalum iliandaa mchuano wa kukuza na kutambua vipaji visivyoonekana kitaifa.