Virginia: Uchunguzi unaendelea kufuatia shambulizi la risasi katika duka la Walmart

  • | VOA Swahili
    3,189 views
    Watu saba wa wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika shambulizi la risasi kwenye duka la Walmart huko Virginia Jumanne usiku. - Michuano ya Kombe la Dunia inaendelea Qatar huku Japan ikiwashangaza wengi leo kushinda mechi dhidi ya vigogo wa Ulaya Ujerumani. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.