Virusi vya Corona: Je, shule za Tanzania zimeweka mikakati gani baada ya kufunguliwa?

  • | BBC Swahili
    Wanafunzi nchini Tanzania wameanza masomo baada ya kusitishwa kwa muda wa zaidi ya miezi mitatu kufuatia janga la Covid-19. Lakini je, shule zimejipanga vipi kudhibiti maambukizi?. BBC imetembelea shule moja ya awali iliyopo jijini Dar es salaam. #Tanzania # Elimu #Watoto #bbcswahili