Virusi vya corona: Jinsi wakimbizi walivyoathirika na janga la corona Afrika

  • | BBC Swahili
    Janga la corona limeathiri kwa kiasi kikubwa maisha ya watu. Hata hivyo kwa wakimbizi hususan wale walioko barani Afrika changamoto ni nyingi, kulingana shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahusumia wakimbizi UNHCR.