Skip to main content
Skip to main content

Visa vya dhuluma za kingono kati ya jamaa zaripotiwa Malindi

  • | Citizen TV
    570 views
    Duration: 3:22
    Visa vya dhuluma za kingono miongoni mwa jamaa vimeripotiwa kuongezeka katika kaunti ya Malindi, ambako wasiwasi kuhusu haki kwa waathiriwa imegubikwa na giza la tamaduni. Kesi hizi sasa zikiibua changamoto ya mikakati zaidi ya kuwashughulikia waathiriwa wa vitendo hivi, licha ya wengi kukosa haki. Hata hivyo, kwa familia moja mjini Malindi, safari ya haki kwa kesi iliyohusu msichana aliyebakwa na babake ilishuhudia ushindi wa haki, licha ya vikwazo vya tamaduni.