- 723 viewsDuration: 3:02Wakazi wa Kijiji cha Chebukaka, eneo bunge la Saboti, Kaunti ya Trans Nzoia, wanaitaka idara ya polisi kuchukua hatua kali dhidi ya wabakaji wanaoongezeka katika eneo hilo. watoto wawili wenye umri wa chini ya miaka 10 walinajisiwa kisha kuuawa kikatili katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita