Skip to main content
Skip to main content

Visa vya uhalifu vyaongezeka Mugirango kaskazini, Nyamira

  • | Citizen TV
    424 views
    Duration: 1:46
    Viongozi wa kisiasa kutoka eneo bunge la Mugirango Kaskazini katika kaunti ya Nyamira wameomba ushirikiano kati ya asasi za usalama, wakazi na viongozi, ili kukabiliana na ongezeko la visa vya uhalifu katika eneo hilo. Wakizungumza walipokutana na machifu na wazee wa nyumba kumi katika chuo cha ufundi cha Nyamira, viongozi hao wamesema utovu wa usalama katika eneo hilo umechangia eneo hilo kurudi nyuma kimaendeleo.