Visa vya uhalifu wa mtandaoni vyaongezeka kaunti ya Busia

  • | Citizen TV
    108 views

    Hakimu mkuu mkaazi katika mahakama ya Busia Edna Nyaloti amesikitishwa na kiwango cha chini cha kesi dhidi ya uhalifu wa kimtandao zinazoripotiwa licha ya visa hivyo kuongezeka maradufu Busia.