Skip to main content
Skip to main content

Visa vya ujambazi wa kutumia bunduki vyatia hofu Nairobi na Kiambu

  • | Citizen TV
    24,399 views
    Duration: 2:43
    Visa vya majambazi waliojihami kwa bastola kuhangaisha wakazi katika kaunti za Nairobi na Kiambu vimeendelea kuzua wasiwasi mkubwa licha ya ahadi za serikali kuwa itadhibiti hali. Katika kisa cha hivi punde, jambazi aliyejihami kwa bastola alinaswa kwenye kamera za CCTV akivamia saluni katika mtaa wa Ruaka na kumuibia mhudumu mmoja simu kabla ya kufyatua risasi na kutoroka. Gatete Njoroge na taarifa hiyo.