Visa vya ukatili wa kijinsia vyaripotiwa kuongezeka katika kaunti ya Homa Bay

  • | Citizen TV
    363 views

    Visa Vya dhulma dhidi ya wanawake vimeripotiwa kuongezeka huku takwimu zilizotolewa na idara ya Afya katika kaunti hiyo zikionyesha kiwango hicho kimefika asilimia 51.kwa mujibu wa takwimu hizo, takriban wanawake 50 wanaathirika kila mwezi.