Visa vya ukeketaji vyapungua kutoka asilimia 21 hadi 15

  • | Citizen TV
    52 views

    Bodi ya kukabili ukeketaji nchini imesema visa vya ukeketaji vimepungua kutoka asilimia ishirini na Moja hadi asilimia Kumi na nne nukta nane, kati ya wanawake wenye umri wa miaka Kumi na tano na arubaini na tisa,na Kwa asilimia Tisa Kwa wanawake wenye umri wa miaka Kumi na tano na Kumi na Tisa. Vijana nao maarufu warani wakitakiwa kuridhia kuwaoa wake ambao hawajakeketwa ili kulemaza ukeketaji.