- 3,071 viewsDuration: 2:50Wafanyibiashara mtaani Eastleigh pamoja na watetezi wa haki sasa wanataka serikali kushughulikia visa vya utekejai nyara vilivyokithiri. Hii ni kufuatia ripoti kuwa katika muda wa siku kumi zilizopita, wafanyibiashara wanne wametekwa nyara mtaani humo huku watatu miongoni mwao wakiachiliwa katika hali tata