Visa vya wizi wa mifugo vyaendelea kushuhudiwa katioka kaunti ya Kajiado

  • | Citizen TV
    366 views

    Kamati ya Usalama katika kaunti ya Kajiado imetaja njia za kutatua kesi nyumbani kwamba zinarejesha nyuma hatua zilizopigwa katika kutatua visa vya wizi wa mifugo kwenye kaunti hiyo.