Visa vya wizi wa mifugo zaongezeka katika kaunti ndogo ya Tharaka Kaskazini

  • | Citizen TV
    918 views

    Visa vya wizi wa mifugo vimeongezeka mno katika kaunti ndogo ya Tharaka Kaskazini kaunti ya Tharaka Nithi. Kwa miezi miwili sasa watu wanne wamepoteza maisha yao eneo hilo baada ya kushamnbuliwa na wezi wa mifugo