Vita baina ya Serikali ya Vihiga na wanaharakati wa eneo hilo

  • | West TV
    Kamati ya seneti imepiga kambi katika kaunti ya Vihiga kwa minajili ya kupata suluhu ya kesi iliyowasilishwa mahakamani na wanaharakati wa kaunti hiyo na kusababisha akaunti muhimu za serikali hiyo kufungwa kwa muda