- 122 viewsDuration: 1:25Baa kumi peke yake ndizo zitakazokubaliwa kuhudu eneo la Gatitu kaunti ya Nyeri. Ndilo agizo la serikali ya kaunti hio, kufuatia idadi inayoendelea kuongezeka ya vifo vya walevi, watu wanne wakifariki baada ya kubugia pombe inayodaiwa kuwa ghushi, ndani ya majuma mawili yaliyopita