Vita Dhidi Ya Ufisadi: Oparanya na mkewe wamulikwa

  • | KBC Video
    224 views

    Tume ya maadili na vita dhidi ya ufisadi, EACC, imepata idhini ya kuwafungulia mashtaka aliyekuwa gavana wa kaunti ya Kakamega, Wycliffe Oparanya na mbunge wa Embakasi Kaskazini, James Mwangi Gakuya kwa madai ya ufisadi. Inakisiwa kwamba Oparanya pamoja na mkewe Sharon Mirella Wakhu na maafisa wengine wa serikali ya kaunti walipokea kwa njia ya ulaghai shilingi milioni 56.7 wakati wa utawala wake. Kwa upande wake, Gakuya anatuhumiwa kwa ubadhirifu wa shilingi milioni 51.3 za hazina ya ustawi wa eneo bunge.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive