Vita dhidi ya ujangili | Kitengo maalum cha polisi chabuniwa

  • | KBC Video
    63 views

    Serikali imebuni kitengo maalum cha kukabiliana na uhalifu ili kuimarisha vita dhidi ya uovu huo na wizi wa mifugo humu nchini. HiI ni sehemu ya mafanikio yalioangaziwa na waziri wa usalama wa kitaifa Prof Kithure Kindiki katika siku mia moja za kwanza za utawala wa Kenya kwanza. Waziri pia alitangaza mipango ya kutoa taarifa kila baada ya miezi mitatu kuangazia mafanikio yalioafikiwa katika kudumisha usalama wa kitaifa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ujangili #News #usalama