Skip to main content
Skip to main content

Vita nchini Iran vyaingia siku ya 31. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    57,864 views
    Duration: 28:10
    Vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran vimeingia siku ya 31 leo Jumatatu. Donald Trump amesema kuwa Marekani iko katika “mazungumzo muhimu” na utawala mpya wa Iran ambao, kulingana na rais huyo, unaweza “kukomesha operesheni za kijeshi za Marekani nchini Iran.” Lakini msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran anasema kuwa mpango wa Marekani na Israel wa mazungumzo hauna mantiki na haukubaliki. #BBCSwahili #BBCSwahiliLeo #Trump #Iran #Israel Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw