Vita vinavyoleta shida ya wakimbizi DRC

  • | VOA Swahili
    1,231 views
    Mwanahabari wetu Austere Malivika ametembelea shule pamoja na wanavijiji waathirika katika mataizo ya vita vya M23 na jeshi la serikali eneo la Biruma ambako bomu liliwaua watoto w wili na kuharibu shule pamoja na makaazi ya watu baada ya kulipuka.