Vita vya Ukraine: Kamera yanasa kombora likianguka kwenye barabara ya Kyiv

  • | BBC Swahili
    1,296 views
    Picha zinaonyesha mabaki ya makombora yakianguka barabarani katika mji mkuu wa Ukraine, Kyiv. Tukio hilo lilitokea tarehe 29 Mei, ikiwa ni shambulio nadra kutokea mchana katika jiji hilo. Hakuna majeraha yaliyoripotiwa. Vipande hivyo vilikusanywa baadaye na polisi kwa uchunguzi zaidi. #urusi #putin #zelenskyy #vita